Home Uncategorized MECHI YA SIMBA V NDANDA YAGHAIRISHWA

MECHI YA SIMBA V NDANDA YAGHAIRISHWA

 


BREAKING: Mchezo wa kirafiki kati ya Simba na Ndanda hautachezwa leo Oķtoba 13 kutokana na hali ya hewa baada ya mvua kunyesha leo ndani ya Bongo.


Mchezo huo ulipangwa kuchezwa majira ya saa 11:00 jioni ikiwa ni sehemu ya timu hizo kujiweka sawa kwa ajili ya mechi zao za ligi.


Simba inashiriki Ligi Kuu Bara na Ndanda inashiriki Ligi Daraja la Kwanza baada ya kushuka msimu uliopita wa 2018/19.


Patrick Rweyemamu,  meneja wa Simba amesema:”Hakutakuwa na mechi leo tutatoa.”

SOMA NA HII  JKT TANZANIA YASIMAMISHA USAJILI WA KMC