Home Uncategorized AMRI SAID WA MBEYA CITY AFUTWA KAZI

AMRI SAID WA MBEYA CITY AFUTWA KAZI

0

 


AMRI Said, aliyekuwa Kocha Mkuu wa Mbeya City amefutwa kazi Oktoba 20 kutokana na timu kutokuwa na mwendo mzuri msimu wa 2020/21.


Kwa sasa timu itakuwa chini ya Kocha msaidizi Mathias Wandiba.


Mchezo wake wa mwisho ilikuwa jana Oktoba kukaa Kwenye benchi na timu ya Mbeya City ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Mwadui FC.