Home Uncategorized MSERBIA WA YANGA ATIMKA BONGO

MSERBIA WA YANGA ATIMKA BONGO


ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Yanga, Zlatko Krmpotic raia wa Serbia leo ameanza safari ya Kurejea nchini Serbia baada ya mkataba wake kusitisha jana Oktoba 3.


Zlatko alitambulishwa ndani ya Yanga, Agosti 29 akichukua mikoba ya Luc Eymael ambaye naye aitimuliwa kutokana na makosa ya kiubaguzi.

Jana ilikuwa ni mchezo wake wa nane ambapo ilikuwa dhidi ya Coastal Union na ilishinda mabao 3-0
SOMA NA HII  MBELEGIJI WA YANGA INAELEZWA KUWA HAJATUMIWA TIKETI KURUDI BONGO

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here