Uncategorized

SIMBA KUWAFUATA LEO WAPINZANI WAO PLATEAU UNITED

admin November 27, 2020 4:47 am

 


Simba inaondoka leo Lagos kuifuata Plateau katika mji wenye makao makuu yake. Umbali zaidi ya Kilomita 300 na Simba imeshauriwa kutumia ndege kwa kuwa katikati ya miji hiyo kumekuwa na matukio ya utekaji watu.


Balozi wa Tanzania nchini Nigeria, Dk Benson Bana amekuwa kati ya watu waliotilia mkazo suala hilo la kutumia usafiri wa ndege.


NGORONGORO HEROES YAWEKA REKODI TAMU CECAFA MARADONA ATAKUMBUKWA KWA YALE ALIYOFANYA, HISTOEIA YAKE KWENYE SOKA IPO NAMNA HII

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply