Home Uncategorized SIMBA YAINGIA ANGA ZA KIMBA WA ZAMBIA

SIMBA YAINGIA ANGA ZA KIMBA WA ZAMBIA

 


IMEELEZWA kuwa Toaster Nsabata kipa wa Klabu ya Zanaco FC ameingia Kwenye rada za Simba.


Nyota huyo ana miaka 27 ana urefu wa cm 183  amecheza pia Klabu ya Nchanga Rangers msimu wa 2016.

SOMA NA HII  JEZI YA TAMBWE KUWA NA UKAME WA MABAO YANGA LAMFANYA ATOE TAMKO KWA URIKHOB