Uncategorized

RATIBA YA KOMBE LA SHIRIKISHO LEO HII HAPA

admin December 27, 2020 7:47 am


 LEO Desemba 27 Kombe la Shirikisho hatua ya nne inaendelea kwenye viwanja tofauti ambapo kila timu itaingia uwanjani kusaka ushindi.

Timu itakayopoteza inatolewa jumlajumla kwenye mbio za kuwania ubingwa wa Kombe la Shirikisho unaodhaminiwa na Kampuni ya Azam..


Bingwa mtetezi wa taji hili ni Simba ambaye alitwaa msimu wa 2019/20 baada ya kushinda mbele ya Namungo FC, Uwanja wa Nelson Mandela, Rukwa.


Ratiba ipo namna hii:-

Namungo v Green Warriors, Uwanja wa Azam Complex.

Mtibwa Sugar v Geita Gold, Uwanja wa Jamhuri.

Simba v Majimaji, Uwanja wa Mkapa.

SIMBA KUSHUSHA MTAMBO HUU MABAO KUTOKA CONGO MBELGIJI WA SIMBA AJIPA MATUMAINI KUPINDUA MEZA KIMATAIFA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply