LEO Januari 13, Yanga inatarajiwa kumenyana na Simba, Uwanja wa Amaan, kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho utakaochezwa majira ya saa 8:15 usiku.
Kwa mujibu wa gazeti la Championi limewapa nafasi wachezaji hawa kuanza kwenye kikosi cha leo mbele ya Simba na takwimu zao namna hii:-
Farouk Shikalo amefungwa bao moja mechi tatu.
|