Home Yanga SC YANGA WAZINDUA KALENDA YAO YA MWAKA 2021

YANGA WAZINDUA KALENDA YAO YA MWAKA 2021

 


KLABU ya soka ya Yanga imezindua rasmi kalenda yake ya mwaka 2021.

Taarifa rasmi ya Yanga imeeleza: “Kalenda ya timu ya wananchi tayari imeshatoka na inapatikana kwa bei ya shillingi 5,000 Makao makuu yetu mtaa wa Twiga/Jangwani na Maduka yote ya GSM.

“Mwananchi pata nakala yako Sasa ili utambe na Kalenda yako,”

SOMA NA HII  MUKOKO : NILICHEZA DHIDI YA COASTAL UNION NIKIWA MAUMIVU MAKALI