Home kimataifa KIKOSI BORA CHA OZIL NDANI YA ARSENAL

KIKOSI BORA CHA OZIL NDANI YA ARSENAL

 BAADA ya nyota wa kikosi cha Arsenal,  Mesut Ozil kusepa ndani ya kikosi hicho na kuibukia ndani ya Fenerbahche ameweza kutaka kikosi chake bora ndani ya Arsenal. 

Katika kikosi hicho nyota huyo naye pia amejijumuisha  yeye pia pamoja na Sanchez na Gnabry ambapo watacheza nyuma ya Pierre Emerick Aubameyang. 

Hiki hapa kikosi bora cha Ozil:

1. David Ospina

2.Bacary Sagna

3.Laurent Koscienly

4.Per Mertesacker 

5.Sead Kolasinac

6.Santi Cazorla 

7.Aaron Ramsey 

8.Mesut Ozil 

9.Serge Gnabry

10.Alexis Sanchez 

11.Pierre Aubameyang 

SOMA NA HII  KOCHA AL AHLY ALALAMIKA WAPITA NJIA KAMA ZA SIMBA