Ligi Kuu

MSIMAMO WA LIGI YA WANAWAKE BAADA YA MICHEZO YA JANA

admin January 26, 2021 11:47 am

 


MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Wanawake klabu ya Simba Queens wamezidi kuikaribia Yanga Princess baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 11-1 dhidi ya TSC Queens, mchezo uliopigwa kwenye uwanja wa Simba MO Arena uliopo Bunju Jijini Dar es Salaam. 

Kwa ushindi huo Simba imefikisha pointi 29 na kuwa nyuma kwa pointi mbili pekee dhidi ya vinara wa msimamo klabu ya Yanga Princess. 

Mchezo mwingine uliopigwa jana ni kati ya Ruvuma Queens na ES Unyanyembe ambao uliisha kwa Ruvuma Queens kuibuka na ushindi wa mabao 9-1.

YONDANI AMPA JOB JEZI NAMBA TANO YANGA BWALYA ATEKA SHOO MAZOEZI SIMBA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply