Simba SC

BREAKING: SIMBA YAMTAMBULISHA MZIMBWABE MWINGINE TENA

admin January 27, 2021 12:47 pm


 CULVIN Mavhunga ametambulishwa rasmi ndani ya kikosi cha Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba.

Yeye anakuwa ni mtaalamu wa kuchambua viwango vya timu ya Simba pamoja na wapinzani .

Ni raia wa Zimbabwe atakuwa na kazi ya kuchambua ubora na ujuzi wa wapinzani wao.

Anakuwa raia wa pili kutoka Zimbabwe kutambulishwa ndani ya Simba ndani ya Januari,2021 baada ya kuanza na Perfect Chikwende pamoja na Peter Muduhwa ambao hawa ni wachezaji. 

YANGA YAWATANGAZA RASMI NIZAR, NA KOCHA MGHANA CHEKI PICHA ZA MAJEMBE YA KAZI NDANI YA YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply