Home Simba SC BREAKING: SIMBA YAMTAMBULISHA MZIMBWABE MWINGINE TENA

BREAKING: SIMBA YAMTAMBULISHA MZIMBWABE MWINGINE TENA


 CULVIN Mavhunga ametambulishwa rasmi ndani ya kikosi cha Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba.

Yeye anakuwa ni mtaalamu wa kuchambua viwango vya timu ya Simba pamoja na wapinzani .

Ni raia wa Zimbabwe atakuwa na kazi ya kuchambua ubora na ujuzi wa wapinzani wao.

Anakuwa raia wa pili kutoka Zimbabwe kutambulishwa ndani ya Simba ndani ya Januari,2021 baada ya kuanza na Perfect Chikwende pamoja na Peter Muduhwa ambao hawa ni wachezaji. 

SOMA NA HII  SIMBA ATAMBA UGENINI, AWANYOOSHA WALIMA MIWA MANUNGU