Home Uncategorized KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA NAMUNGO FC

KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA NAMUNGO FC

 


KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo Januari 8 dhidi ya Namungo FC kwenye mchezo wa pili wa Kombe la Mapinduzi, Uwanja wa Amaan.


Huu ni mchezo wa pili kwa Yanga baada ya kulazimisha sare ya bila kufungana mbele ya Jamhuri na ni wa kwanza kwa Namungo FC.

Utachezwa majira ya saa 8:15 usiku, kikosi kipo namna hii:-


SOMA NA HII  HAKIKA MAJOGOO WAMEAMUA, JURGEN KLOPP KUSHUSHA MASHINE NYINGINE KALI LIVERPOOL