Azam FC

AZAM FC KUMENYANA NA COASTAL UNION, LYANGA AREJEA NYUMBANI

admin February 10, 2021 4:47 am


KESHO kikosi cha Azam FC  kinachonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina kitakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu muhimu mbele ya Coastal Union. 


Msafara wa kikosi hicho chenye wachezaji 23 umewasili Tanga usiku wa jana Februari 9 ukiwa na Ayoub Lyanga mwenye jumla ya mabao matano ndani ya Ligi Kuu Bara baada ya kuwatungua Simba kwenye sare ya kufungana mabao 2-2, Uwanja wa Mkapa.

Lyanga ni zao la Coastal Union hivhivyoeo anakwenda kukutana na mabosi zake wa zamani kabla ya kesho kukutana nao ndani ya Uwanja wa Mkwakwani.

Mchezo wao wa mzunguko wa Kwanza, zama za Arstica Cioaba Azam FC ilishinda mabao 2-0, Uwanja wa Azam Complex.

MEDDIE KAGERE:USHINDANI BONGO NI MKUBWA KILA IDARA KMC YATIA TIMU RUKWA, KAMILI KUIVAA TANZANIA PRISONS

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply