news

MUONEKANO WA LAKE TANGANYIKA, DIMBA LA FAINALI FA

admin February 10, 2021 10:47 am

 


HUU ndio muonekano wa uwanja wa Lake Tanganyika uliopo mkoani Kigoma, uwanja huu ndiyo utakaotumika kwenye fainali ya kombe la Shirikisho la Azam (FA), 2021.

Ikumbukwe kuwa Fainali ya mwaka jana ilipigwa katika dimba la Nelson Mandela lililopo Sumbawanga mkoani Rukwa, ambapo Simba walicheza dhidi ya Namungo na Simba kuibuka na ubingwa huo kwa kuifunga Namungo mabao 2-1 Agosti 2, mwaka jana.

Tayari droo ya michezo ya hatua ya 32 bora imekwishapangwa ambapo itaanza kupigwa mwishoni mwa mwezi huu.

Ratiba ya michezo hiyo iko kama ifuatavyo;


JEMBE LA KAZI LAVUTWA NA KAZE,KUIVAA MBEYA CITY YACOUBA, SARPONG, WAPUNGUZA PRESHA YANGA, SAIDO AWEKWA CHINI YA ULINZI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply