Home Ligi Kuu FT: YANGA 1-0 MTIBWA SUGAR

FT: YANGA 1-0 MTIBWA SUGAR

 


Kipindi cha kwanza 

Uwanja wa Mkapa


Yanga 0-0 Mtibwa Sugar 

Zinaongezwa dakika 4

Dakika ya 45 Mtibwa Sugar wanapata faulo

Dakika ya 44 Nchimbi anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea faulo Kessy

Dakika ya 42 Mshery anaokoa hatari ndani ya 18

Dakika ya 39 Mchezaji wa Mtibwa Sugar anatolewa akiwa amebebwa Kwenye machela

Dakika ya 37 Fei Toto anafanya jaribio nje ya 18 linakwenda juu ya langi

Dakika ya 35 Mshery anaokoa hatari,Yanga wanapiga kona inaokolewa 

Dakika ya 29 Mtibwa Sugar wanakosa nafasi ya kufunga

Dakika ya 28 Mshery anapewa huduma ya Kwanza 

Dakika ya 25 Fei anachezewa faulo 

Dakika ya 24 Mshery anaokoa mashambulizi 


Dakika ya 20 Mtibwa Sugar wanapeleka mashambulizi Yanga


Dakika ya 15 Yanga wanapeleka mashambulizi kwa Mtibwa Sugar

SOMA NA HII  POLISI TANZANIA YAIPIGIA HESABU SIMBA