Home Yanga SC KIKOSI CHA YANGA KINACHOTARAJIWA KUANZA LEO DHIDI YA KENGOLD YA MBEYA

KIKOSI CHA YANGA KINACHOTARAJIWA KUANZA LEO DHIDI YA KENGOLD YA MBEYA


LEO Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu Cedric Kaze ina kazi ya kusaka ushindi mbele ya kikosi cha Kengold ya Mbeya, Uwanja wa Uhuru.


mchezo huo ni wa hatua ya 32 bora ambapo atakayepoteza anafungashiwa virago mazima ndani ya Kombe la Shirikisho linalotetewa na watani zao wa jadi Simba.


Hiki hapa kikosi cha Yanga kinachotarajiwa kuwanza leo Uwanja wa Uhuru namna hii:- Faroukh Shikalo

Shomari Kibwana

Yassin Mustapha

Lamine Moro

Bakari Mwamnyeto

Farid Mussa

Tuisila Kisida

Feisal Salum

Wazir Junior

Deus Kaseke 

Ditram Nchimbi

SOMA NA HII  BAADA YA KUPATA USHINDI JANA....MANARA ATUPA KOMBORA SIMBA..."KUNIROGA HAMNIWEZI..KUNIPIGA NDIO KABISAA"...