Home Ligi Kuu LIGI KUU BARA: SIMBA 1-0 AZAM FC

LIGI KUU BARA: SIMBA 1-0 AZAM FC

 


Kipindi cha Kwanza


Simba 1-0 Azam FC

Uwanja wa Mkapa

Zinaongezwa dakika 3

Dakika ya 43 Luis anapewa huduma ya kwanza

Dakika ya 39 Kapombe anapewa huduma ya Kwanza 

Dakika ya 38, Chama anapiga penalti,  Kigonya anaokoa

Dakika ya 37 Simba wanapata penalti imesababishwa na Luis

Goal Simba, Kagere dk 27

Dakika ya 24, Kigonya anapewa huduma ya kwanza

Dakika ya 20, Kigonya anaokoa hatari ya Luis Miquissone 

Dakika ya 16 Sure Boy njano 

Dakika ya 15 Morris anapiga faulo haizai matunda

Dakika ya 14 Chama anaotea

Dakika ya 13 Kigonya anaanzisha mashambulizi 

Dakika ya 12 Lyanga anafanya jaribio linakwenda nje ya 18

Dakika ya 8 Tshabalala on target

Dakika ya 6 Chama aliotea


SOMA NA HII  KOCHA MTIBWA SUGAR AWAPA KAZI WACHEZAJI WAKE