Home Yanga SC MATUKIO KATIKA PICHA KINACHOENDELEA KWENYE KAMBI YA YANGA (MWANANCHI MEDIA DAY)

MATUKIO KATIKA PICHA KINACHOENDELEA KWENYE KAMBI YA YANGA (MWANANCHI MEDIA DAY)


KLABU ya soka ya yanga leo imezindua tukio kubwa la ‘Mwananchi Media Day’ ambalo linalenga kuwapa fursa wanahabari kukutana ana kwa ana na wachezaji, viongozi na benchi la ufundi la Yanga kufahamu masuala mbalimbali yanayoihusu Yanga.

Tukio hilo linafanyika ndani ya viunga vya Avic Town ilipo kambi ya klabu ya Yanga Kigamboni Jijini Dar es Salaam, Haya hapa matukio katika picha ya kile kinachoendelea huko Avic Town.


Pichani; Kutoka kushoto Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga, Haji Mfikirwa, Mwenyekiti wa Yanga Dk. Mshindo Msolla na Mshauri wa uendeshaji wa klabu ya Yanga Sc, Senzo Mbatha.


Pichani; Kocha wa Yanga Princess, Edna Lema akizungumza na waandishi wa habari.


Pichani; Mshauri wa uendeshaji wa klabu ya Yanga Sc, Senzo Mbatha akisistiza jambo.


Pichani; Baadhi ya mashabiki wa klabu ya Yanga wakipata picha ya ukumbusho.


SOMA NA HII  USAJILI WA BIGIRIMANA YANGA WAMUIBUA NABI....AVUNJA UKIMYA NAMNA ALIVYOTAKA MAMBO YAWE...