Home news MUONEKANO WA LAKE TANGANYIKA, DIMBA LA FAINALI FA

MUONEKANO WA LAKE TANGANYIKA, DIMBA LA FAINALI FA

 


HUU ndio muonekano wa uwanja wa Lake Tanganyika uliopo mkoani Kigoma, uwanja huu ndiyo utakaotumika kwenye fainali ya kombe la Shirikisho la Azam (FA), 2021.

Ikumbukwe kuwa Fainali ya mwaka jana ilipigwa katika dimba la Nelson Mandela lililopo Sumbawanga mkoani Rukwa, ambapo Simba walicheza dhidi ya Namungo na Simba kuibuka na ubingwa huo kwa kuifunga Namungo mabao 2-1 Agosti 2, mwaka jana.

Tayari droo ya michezo ya hatua ya 32 bora imekwishapangwa ambapo itaanza kupigwa mwishoni mwa mwezi huu.

Ratiba ya michezo hiyo iko kama ifuatavyo;


SOMA NA HII  BAADA YA YANGA KUWATEMA, SINGIDA FOUNTAIN GATE WAFANYA KWELI