Home Simba SC UJUMBE WA SIMBA KWA AS VITA YA DR CONGO

UJUMBE WA SIMBA KWA AS VITA YA DR CONGO


UJUMBE wa Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara kuelekea mchezo wa makundi wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AS Vita ya Congo Februari 12:-

“Tulichowaambia TV ya Taifa ya Congo ni kwamba, Simba inawaheshimu Vita Club na inajua ni ngumu mno kucheza nao kwao kisha kupata matokeo chanya,lakini hatukuja huku kumuogopa mtu!


“Heshima yetu ni ya kimchezo na hatuiangalii historia ya mechi iliyopita ya hapa Kinshasa.


“Kocha wetu ni mwerevu na atakuja na plan sahihi ya kucheza away game kama hizi!


“Shida kubwa nnayoiona  ni kwangu binafsi,inanibidi kuongea lugha za Kifaransa na Kilingala kila wakati.Dua zenu ndugu zangu.Mashavu yangu yapo taabani,”

SOMA NA HII  DUH! KUMBE SIMBA WANATAKA YANGA ISHUSHWE MADARAJA MAWILI