Home Ligi Kuu VPL:MBEYA CITY 0-0YANGA

VPL:MBEYA CITY 0-0YANGA

 


UWANJA wa Sokoine 


Mbeya City 0-0 Yanga

Dakika ya 45+1 Chitembe anaonyeshwa kadi ya njano 

Kipindi cha kwanza

Zinaongezwa dakika 2

Dakika 45 zinakamilika 

Dakika ya 44 Mnata anaokoa hatari

Dakika ya 43 Fei Toto anapeleka mashambulizi 

Dakika ya 41 Farid Mussa anachezewa faulo 

Dakika ya 31 Kisinda anaotea

Dakika ya 30 Yanga wanapata kona

Dakika ya 29 Fiston anapiga shuti linampa juu

Dakika ya 26 nyota wa Mbeya City anapewa huduma ya kwanza

Dakika ya 25 Mbeya City wakiwa Kwenye umiliki mwamuzi anauliza kipyenga iwe fair play kwa kuwa kuna mchezaji alikuwa amechezewa faulo

Dakika ya 23 Nondo anachezewa faulo

Dakika ya 21 Tonombe anaanua majalo

Dakika ya 19 Fiston anatoa pasi inadhibitiwa

Dakika ya Lamine anapeleka kwa Fiston anapoteza

Dakika ya 17 Kunambi anamchezea faulo Tuisila 

Dakika ya 15 Kunambi anamchezea faulo Sarpong 

Dakika ya 13 Bakari anapiga faulo kwa Yanga

Dakika ya 11 Mbeya City wanapeleka mashambulizi Yanga 

Dakika ya 9 Michael Sarpong anapiga shuti linakwenda nje ya lango


Dakika ya 2 Mbeya City wanapeleka mashambulizi Yanga

SOMA NA HII  JEMBE: KIPA POLISI TANZANIA LAZIMA AHOJIWE