AZAM FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Geroge Lwandamina baada ya kutinga hatua ya 16 kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mbuni FC inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza ina kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Kagera Sugar.
Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa kesho, Machi tatu, Uwanja wa Kaitaba. Jeshi la Azam FC litakaloibuka Bukuba hili hapa:-
1.Obrey Chirwa
2.Prince Dube
3. Hamoudoun
4.Kangwa Bruce
5.Braison Raphael
6. Omary
7.Wadada
8.Mudhathir
9.Nado
10.Awesu
11.Daniel
12.Abdalah
13.Lyanga
14.Maseke
15.Niyonzima
16.Tigere
17.Aziz
18. Charlse Emmanuel
19.Emmanuel Kabelege
20.Mathias Kigonya
21.George Lwandamina
22.Mohamed Yakub
23.Moris Agrey
24.Mpiana Monzinzi
25.Abubakar Idd
26.Vivier Bahati
27.Charandura Nyasha
28.Luckson Jonathan
29.Vincent Madenge
30.Nzawila Yusuph