Yanga SC

FIFA WAMPA AHUENI KOCHA YANGA

admin March 12, 2021 10:47 am


SHIRIKISHO la soka la kimataifa (FIFA), limefuta pingamizi la kutofanya kazi nchini Afrika kusini kwa aliyekuwa kocha wa zamani wa Yanga, Luc Eymael.

Eymael alifikwa na maamuzi hayo kutoka kwa Chama cha soka cha Afrika Kusini (SAFA), mwezi Julai mwaka jana mara baada ya kuwadhihaki mashabiki wa Yanga kwa kuwafananisha na nyani.

Kutokana na dhihaka hiyo, Yanga walisitisha mkataba wa kocha huyo na kutakiwa kuondoka nchini haraka, jambo ambalo alilitekeleza huku mashauri mengine yakibaki kuwa chini ya Shirikisho la soka Tanzania (TFF).

MSUVA: AWATUMIA UJUMBE SIMBA, NAMUNGO MWAKINYO KUZICHAPA NA MZIMBABWE, KCB YAMWAGA MKWANJA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply