Azam FC

VIJANA WA AZAM FC WAMPA MATUMAINI LWANDAMINA

admin March 14, 2021 4:47 pm


 KOCHA Mkuu wa Azam FC, George Lwandamina amesema kuwa anaamini wachezaji alionao watafanya kazi nzuri itakayompa nafasi ya kuleta ushindani ndani ya Ligi Kuu Bara. 


Azam FC Kwenye msimamo ipo nafasi ya tatu ikiwa imekusanya pointi zake 44 baada ya kucheza jumla ya mechi 24.


Kinara ni Yanga mwenye pointi 50 akiwa amecheza jumla ya mechi 23 huku nafasi ya pili ikiwa mikononi mwa mabingwa watetezi Simba na pointi zao ni 46.


Lwandamina amesema:”Taratibu,  hatua kwa hatua vijana wanazidi kuimarika na kuleta ushindani ndani ya Ligi,”.

KAGERE :- TUFIKE ROBO FAINALI KWANZA ..MENGINE TUTAJUA BAADAYE GOMES AWATAKA WACHEZAJI WAWE MAKINI KWENYE MIPIRA ILIYOKUFA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply