Simba SC

LIGI YA MABINGWA AFRIKA: SIMBA 2-0 AL MERRIKH

admin March 16, 2021 1:47 pm


 LIGI ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi 

Zimeongezwa dakika 3

Dakika ya 45 anaingia Nyoni 
Dakika ya 43 Onyango anapewa huduma ya Kwanza na anaomba kutolewa, alipigwa mpira kichwani

Dakika ya 41 Onyango anaokoa hatari mikononi mwa Manula

Dakika ya 38 Gooooooal Tshabalala 

Dakika ya 36 Lwanga anaanua majalo

Dakika ya 33 kipa wa Al Merrikh anapewa huduma ya Kwanza 

Dakika ya 30 Mugalu anakosa nafasi ya wazi kwa pasi ya Morrison 
Dakika ya 29 Mongbe kipa wa Al Merrikh anaonyeshwa kadi ya njano

Dakika ya 26 Morrison anaokoa hatari

Dakika ya 22 Onyango anapewa huduma ya Kwanza 

Dakika ya 17 Luis Miqussone goal
Dakika ya 16 Mugalu anapiga shuti linaokolewa.

Ndani ya dakika 15 timu zote mbili hakuna hata moja ambayo imepiga shuti ambalo limelenga lango.

Simba wanatengeneza nafasi ila watashindwa kutumia

Dakika ya 15 Mzamiru anachezewa faulo

Dakika ya 8 Monged anapewa huduma ya Kwanza ni kipa wa Al Merrikh 

Dakika ya 7 Mzamiru anapeleka mashambulizi Al Merrikh 

Dakika ya 4 Mugalu anachezewa faulo 

Dakika ya 3 Onyango anaanua majalo

Dakika ya Kwanza Morrison anatengeneza nafasi mabeki wa Al Merrikh wanaanua

Simba 0-0 Al Merrikh 

Kipindi cha kwanza

Machi 16, Simba v Al Merrikh 


Mchezo wa marudio,  ule wa kwanza Uwanja wa Al Hilal ngoma ilikuwa 0-0

MO DEWJI AWEKA MILIONI 230 MEZANI KUWAUA EL MERREIKH LEO SIMBA SC BABA LAO…BADO POINTI MOJA TU KUTINGA ROBO FAINALI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply