Yanga SC

NYOTA WA YANGA KAMILI GADO KURUDI UWANJANI

admin March 17, 2021 3:47 pm


KIUNGO mshambuliaji wa Yanga Saido Ntibazonkiza ameanza mazoezi na kikosi cha timu ya Taifa ya Burundi yakiwa ni maandalizi kuelekea mechi za kuwania kufuzu Afcon 2021 zitakazopigwa mwishoni mwa mwezi huu


Kurejea kwa nyota huyo ni ishara kuwa amepona majeraha yaliyomuweka nje tangu mwezi Januari mwaka huu


March 26 Burundi itakuja Tanzania kucheza mchezo wao dhidi ya Afrika ya Kati


Serikali ya Tanzania imeiruhusu Burundi kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa katika mchezo huo

MWAMBUSI: KOCHA WA MAKIPA AMEPATIKANA ISHU YA NAMUNGO KUONDOLEWA AZAM COMPLEX YATOLWEWA UFAFANUZI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply