Simba SC

LUIS:KUONDOKA KWA MAGUFULI HASARA KWA AFRIKA

admin March 19, 2021 6:47 am


KUTOKANA na kifo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli kilichotangwazwa na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Machi 17, kiungo wa Simba Luis Miquissone amesema kuwa ni hasara kwa Arika na Dunia kiujumla.

Kiungo huyo raia wa Msumbuji amesema kuwa ni wakati mgumu ambao Watanzania wanapitia kwa sasa. 

Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika:”Hasara kubwa kwa watu wa Tanzania, Afrika na ulimwengu wote. Mungu aipe familia na watu wa Tanzania nguvu wakati huu mgumu,” ,

YANGA KAZI INAENDELEA, WAPEWA PROGRAM MAALUMU KUWAREJESHA KWENYE UBORA POGBA AIPELEKA MANCHESTER UNITED ROBO FAINALI EUROPA LEAGUE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply