Simba SC

ORODHA YA KIKOSI BORA CHA LIGI YA MABINGWA AFRIKA HATUA YA MAKUNDI, ZIMBWE, LUIS NDANI

admin March 19, 2021 5:47 am


 NYOTA wawili wa kikosi cha Simba majina yao yameorodheshwa kwenye kikosi bora cha wiki kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi baada ya mechi nne kuchezwa.

Simba ikiwa kundi A inaongoza kundi hilo na ipo na pointi 10 haijaokota bao kwenye hatua ya makundi jambo ambalo ni rekodi kwa msimu huu wa 2020/21.

Wachezaji hao wawili ni kiungo Luis Miquissone pamoja beki mzawa Mohamed Hussein, ‘Zimbwe’ ambaye ana bao moja pia kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika huku Luis akiwa ametupia mabao mawili.

Wengine ni Denis Onyango, Mosa Lebusa na Lebohang Maboe hawa ni kutoka Klabu ya Mamelod Sundowns ambayo imetoa wachezaji watatu.

Mouad Haddad, Diogenis Joao, Mehd Benaldida, Yasser Ibrahim,Mohamed Magoyafsha na Hamdou Elhouni.

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA YANGA KAZI INAENDELEA, WAPEWA PROGRAM MAALUMU KUWAREJESHA KWENYE UBORA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply