Home Yanga SC VIONGOZI NA WACHEZAJI WA YANGA WAMUAGA HAYATI RAIS JPM, MAJONZI YATAWALA

VIONGOZI NA WACHEZAJI WA YANGA WAMUAGA HAYATI RAIS JPM, MAJONZI YATAWALA

0

  


Kikosi cha timu ya Yanga kikiongozwa na Mwenyekiti wa Klabu hiyo Dkt. Mshindo Msolla kimepata nafasi ya kutoa heshima zao za mwisho kwa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli kwenye |Uwanja wa Uhuru.