Home Simba SC LUIS MIQUISSONE ASEPA NA TUZO YA MCHEZAJI BORA

LUIS MIQUISSONE ASEPA NA TUZO YA MCHEZAJI BORA

 


LUIS Miquissone amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mashabiki wa Simba kupitia tuzo ya Emirates Simba Fans player of the month.

Tuzo hiyo imetolewa leo Machi 17 muda mfupi baada ya uongozi wa Simba kuingia mkataba na Kampuni ya Emirates ambayo itakuwa inahusika kwenye kutoa tuzo hizo.

Amekabidhiwa tuzo na zawadi ya Shilingi milioni moja.

SOMA NA HII  PAMOJA NA KUZIBULIA 0-2, KOCHA WA JWANENG ADAI SIMBA NI TIMU DHAIFU NA INAYOPENDELEWA