Home Yanga SC VPL: POLISI TANZANIA 1-1 YANGA

VPL: POLISI TANZANIA 1-1 YANGA

 


Dakika 41 Fiston Goal kwa kisigino

Dakika ya 39 Nasoro anacheza faulo 

Dakika ya 36 Nchimbi na kipa wa Polisi Tanzania wanapewa huduma ya kwanza

Dakika ya 34 Sabilo anakosa nafasi ya wazi ndani ya 18 kwa pasi ya Nasoro

Dakika ya 30 Kisinda anachezewa faulo 

Dakika ya 29 Mnata anaokoa hatari ndani ya 18

Dakika ya 28 Nchimbi anamchezea faulo kipa wa Polisi Tanzania 

Dakika ya 25 Haruna Niyonzima anakosa nafasi ya wazi ndani ya 18

Dakika ya 23 Nassoro anatoa nje mpira

Dakika ya 20 Yondani anaokoa hatari iliyojazwa ndani ya 18 na Kisinda wanapata Yanga kona mbili zinapigwa na Niyonzima hazileti matunda

Dakika ya 18 Fiston anachezewa faulo nje kidogo ya lango na Yondan

Dakika ya16 Yondani anaanua majalo

Dakika ya 13 Tonombe Mukoko anapewa huduma ya kwanza

Dakika ya 11 Saliboko anafanya jaribio ndani ya 18 linakwenda juu kidogo nje ya 18

Haruna Niyonzima ameanza leo, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid,  Arusha.


Kwa sasa ni dakika ya 12

6, Polisi Tanzania 0-0 Yanga

Dakika ya 5  Niyonzima alifanya jaribio lilipaa juu ya lango akiwa ndani ya 18

SOMA NA HII  YANGA WARUSHA KOMBORA SIMBA...WANANGA OFISI ZAO...