Home Uncategorized SIMBA YAHAMISHIA HASIRA ZAKE HUKU NAMNA HII

SIMBA YAHAMISHIA HASIRA ZAKE HUKU NAMNA HII

UONGOZI wa Simba umesema kuwa kesho utahamishia hasira zake mbele ya Stand United kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho utakaochezwa Uwanja wa CCM Kambarage.

Simba ilitinga hatua ya 16 bora ya Kombe la Shirikisho kwa ushindi wa mabao 2-1 mbele ya Mwadui FC mchezo uliochezwa Uwanja wa Uhuru.

Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa:’ Kazi ya kupata ushindi kwenye ligi imesimama kwa muda sasa ni zamu ya Stand United,”.

Bingwa mtetezi wa Kombe la Shirikisho ni Azam FC iliyo chini ya Arstica Cioaba.

SOMA NA HII  KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA AZAM FC UWANJA WA TAIFA, ROBO FAINALI FA