Home Yanga SC VIDEO: KIUNGO WA YANGA TONOMBE MUKOKO AFUNGUKIA ISHU YAKE YA KAIZER CHIEFS

VIDEO: KIUNGO WA YANGA TONOMBE MUKOKO AFUNGUKIA ISHU YAKE YA KAIZER CHIEFS

KIUNGO wa Klabu ya Yanga, Mukoko Tonombe ambaye amekuwa akitajwa kuingia kwenye rada za Klabu ya Kaizer Chiefs amesema kuwa kwa sasa hajui jambo lolote kuhusu suala hilo kwa sababu bado ana mkataba na Klabu ya Yanga.

 

SOMA NA HII  KWA HILI GAMONDI LAZIMA AKUNR KICHWA YANGA