Simba SC

JOASH ONYANGO ASEPA NA TUZO YA LUIS MIQUSSONE

admin April 5, 2021 11:47 am

 BEKI wa kati wa Klabu ya Simba, Joash Onyango leo Aprili 5 amekabidhiwa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki wa mwezi Machi (Emirate Aluminium Simba Fans Player of the Month)

Onyango alikuwa anashindana kupata tuzo na mshindi wa Mwezi Februari, kiungo Luis Miquissone ambaye alikuwa ameingia kwa mara nyingine tena kwenye mchakato wa kuisaka tuzo hiyo kwa mwezi Machi.

Pia nyota mwingine ambaye alikuwa kwenye mchakato wa kuwania tuzo hiyo ni kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula.

Baada ya kura kupigwa kupitia mtandao ambapo mashabiki ni wapigaji wa kura hizo wamempa ushindi beki wao Onyango ambaye leo amekabidhiwa tuzo yake.


YANGA WAANZA NA MAMBO MANNE HAYA HAPA BAKARI MWANYETO JEMBE LA KAZI YANGA LICHA YA MAKOSA YANAYOIGHARIMU TIMU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply