Home Ligi Kuu VIDEO: MGORE AFUNGUKIA KILICHOSABISHA AKAFUNGWA NA YANGA, MALENGO YAKE

VIDEO: MGORE AFUNGUKIA KILICHOSABISHA AKAFUNGWA NA YANGA, MALENGO YAKE

KIPA namba moja wa Biashara United, Daniel Mgore ameweka wazi kwamba makosa ambayo aliyafanya kwenye mchezo wao dhidi ya Yanga na kufungwa bao na Yacouba Songne ni makosa ya mawasiliano ambayo huwa yanatokea, pia amefunguka kuhusu ishu ya kupoteza muda.

 

SOMA NA HII  KOCHA MPYA KAGERA SUGAR NA MATUMAINI YA KUFANYA VIZURI NDANI YA LIGI