Home news VIDEO: BOBAN HAJASTAAFU MPIRA, ROHO MBAYA NI TATIZO

VIDEO: BOBAN HAJASTAAFU MPIRA, ROHO MBAYA NI TATIZO

MENEJA wa Haruna Moshi, ‘Boban’ ameweka wazi kwamba Boban hajastaafu mpira kwani umri wake bado ni mdogo, Herry Mzozo amesema kuwa roho mbaya ni tatizo jambo ambalo alilokutana nalo Haruna kilichowaponza inatajwa kuwa ni mshahara wao.

 

SOMA NA HII  AHMED ALLY : DEJAN NAYE HAKUWA CHAGUA LA KOCHA MAKI...SABABU YA KWANINI HACHEZI HIZI HAPA...