Ligi Kuu Tanzania 2023/24
Habari za michezo

SOKA LA BONGO LAZIDI KUPAA…LIGI KUU YAIPIKU LIGI YA AFRIKA KUSINI KWA UBORA…TAKWIMU HIZI HAPA..

admin February 2, 2023 7:23 pm

Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limetangaza Kuwa Ligi ya Tanzania Bara inashika nafasi ya 5 kwenye orodha ya Ligi Bora Barani Afrika huku nafasi ya 39 duniani kwa mwaka 2022.

Ligi Kuu Tanzania Bara imepanda kwa nafasi 23 kutoka nafasi ya 62 (2021) hadi nafasi ya 39 (2022) duniani huku kwa Afrika ikishika nafasi ya 5 na kusalia kuwa Ligi pekee kwenye 10 Bora ya Afrika kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.Ligi Kuu Tanzania

 

BAADA YA KUONA UWEZO WA SAWADOGO…MGUNDA KATIKISA KICHWA WEE..KISHA AKAMTAJA NASSOR KAPAMA… BAADA YA KUSIKIA MAYELE NDIYE MFALME BONGO…BALEKE KAKUNA KICHWA WEE..KISHA AKASEMA HILI..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply