UBINGWA KWENDA KWA NANI LEO……….?
Fainali ya Conference League inatarajiwa kupigwa siku ya leo kule Ujerumani huku kila timu ikiwa na uchu wa kufanya vizuri kuondoka na Kombe hilo. Ni Crystal Palace dhidi ya Rayo Vallecano. Je nani kuibuka kidedea?
Je unajua kuwa fainali ya UEFA Conference League kati ya Crystal Palace na Rayo Vallecano ni moja ya fainali zenye mvuto mkubwa kwa sababu inawakutanisha timu mbili ambazo hazikuwa miongoni mwa vigogo waliotabiriwa kufika hatua hii. Hii ni fainali ya timu zenye moyo wa mapambano, nidhamu kubwa ya kiuchezaji na kiu ya kuandika historia mpya barani Ulaya.
Tukianza na Rayo Vallecano wao kuna hadithi nyingine ya kuvutia zaidi. Hii ni timu inayocheza kwa nidhamu kubwa sana ya tactical. Rayo si timu ya mastaa wakubwa, lakini wamefika hapa kwa sababu ya mfumo wao wa pamoja, presha kali na kujituma kwa kila mchezaji uwanjani. Wamekuwa wakicheza soka la kujilinda kwa umakini huku wakitafuta nafasi sahihi za kushambulia. Bashiri hapa.
Pia Rayo wameonyesha uwezo mkubwa wa kuvunja mipango ya timu kubwa. Wanajua jinsi ya kuifanya mechi iwe ngumu, kupunguza kasi ya mchezo na kuwafanya wapinzani washindwe kucheza soka lao la kawaida. Hii ndiyo sababu wamekuwa moja ya timu ngumu kucheza nazo katika mashindano haya.
Kwa upande wa Crystal Palace, huu ni msimu wa ndoto. Timu ya Oliver Glasner imeonyesha mabadiliko makubwa ya kiuchezaji. Palace wamekuwa wakicheza soka la nguvu, kasi na mashambulizi ya moja kwa moja.
Timu hiyo wameonyesha uimara mkubwa wa kiulinzi, kasi kwenye mashambulizi ya kushtukiza na uwezo wa kucheza kwa intensity kubwa kwa dakika zote 90. Timu yao imekuwa ikicheza soka la nguvu, presha ya juu na transitions za haraka sana. Kila wanapopata nafasi ya kushambulia, wanafanya hivyo kwa kasi kubwa na kuwapa shida mabeki wa timu pinzani.
Piga pesa leo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Palace wamemaliza msimu wakiwa nafasi ya 15 ligi kuu ya Uingereza, huku kushinda kombe hili kutawafanya waweze kushiriki kombe la Europa msimu ujao. Wakati Rayo Vallecano wao wamemaliza nafasi ya 8 kwenye msimamo wa ligi huku naye ubingwa huu ni muhimu sana kwake. Bashiri mechi hii.
Kwa ujumla, Crystal Palace wanaonekana kuwa na nguvu zaidi kimwili na wana kasi kubwa ya mchezo, lakini Rayo Vallecano wana nidhamu ya tactical inayoweza kubadilisha kabisa mwelekeo wa mechi. Hii si fainali ya mabingwa wakubwa wa majina, bali ni fainali ya timu mbili zilizopambana kwa moyo mkubwa mpaka kufika hatua hii. Jisajili hapa.