Home Ligi Kuu MSIMAMO WA LIGI KUU BARA, SIMBA YAISHUSHA YANGA

MSIMAMO WA LIGI KUU BARA, SIMBA YAISHUSHA YANGA

0

 


MSIMAMO wa Ligi Kuu Bara iliwa ni mzunguko wa pili,  Simba imeishusha Yanga namba moja na kukaa kileleni baada ya ubao kusoma Gwambina FC 0-1 Simba, Uwanja wa Gwambina Complex