Home Yanga SC BREAKING: MWAKALEBELA AFUNGIWA MIAKA MITANO KUJISHUGHULISHA NA SOKA

BREAKING: MWAKALEBELA AFUNGIWA MIAKA MITANO KUJISHUGHULISHA NA SOKA




 KAMATI ya Maadili ya Shirikisho la  Mpira wa Miguu, Tanzania, (TFF) imemfungia miaka mitano Makamu Mwenyekii wa Klabu ya Yanga, Fredrick Mwakalebela kujishughulisha na masuala ya mpira wa miguu ndani na nje ya nchi.


Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa na TFF leo Aprili 2 imeeleza kuwa kamati imemkuta na hatia ya kutoa maneno ya uchochezi kwa Wanachama na mashabiki kuhusu vyombo vinavyosimamia mpira.


Taarifa hiyo ipo hivi:-

SOMA NA HII  YANGA YABAKISHA SIKU NNE KUWASHANGAZA MASHABIKI NA WADAU