Home Azam FC REKODI ZA AZAM FC NDANI YA LIGI KUU BARA

REKODI ZA AZAM FC NDANI YA LIGI KUU BARA


CHEKI rekodi za Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina ndani ya ligi kwa msimu wa 2020/21.

Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Azam FC, Zakaria Thabiti, ikiwa nafasi ya pili na pointi zake 50 baada ya kucheza jumla ya mechi 26.

Mambo yalikuwa namna hii kwa upande wa matokeo:-

Azam FC 1-0 Polisi TZ

Azam FC 2-0 Coastal Union

Mbeya C 0-1 Azam FC

TZ Prisons 0-1 Azam FC

Azam FC 4-2 Kagera Sugar

Azam FC 3-0 Mwadui FC

Ihefu SC 0-2 Azam FC

Mtibwa FC 1-0 Azam FC

Azam FC 1-1 JKT TZ

Azam FC 3-0 Dodoma Jiji

KMC FC 1-0 Azam FC

Azam FC 0-1 Yanga SC

Biashara 1-1 Azam FC

Gwambina FC 0 – 0 Azam FC

Azam FC 2-2 Namungo FC

Azam FC 2-2 Ruvu Shooting

Polisi TZ 0-1 Azam FC

Simba SC 2 – 2 Azam FC

Coastal Union 2 – 1 Azam FC

Azam FC 2 – 1 Mbeya City

Azam FC 0 – 0 TZ Prisons

Kagera Sugar 1 – 2 Azam FC

Mwadui FC 0 – 0 Azam FC

Azam FC 3 – 0 Ihefu FC

Azam FC 2 – 0 Mtibwa FC

JKT TZ 0 – 1 Azam FC


Watupiaji


Dube – 10

Nado – 7

Lyanga- 7

Chirwa – 4

Niyonzima – 1

Dijodi – 1

Sure Boy – 1

Morris – 1

Mudathir – 1

Kader – 1

Amoah – 1

Braison -1


Pasi za mwisho


Dube – 6

Nado – 5

Tigere – 4

Mudathir – 4

Chirwa – 3

Djodi – 3

Lyanga – 2

Kangwa – 2

Sure boy – 1

Braison – 2

A.Niyonzima – 1

Zaydi – 1

Hamahama – 1


Makipa bila kufungwa


Mapigano – 7

Kigonya – 4

Maseke 3 

Haule – 1

SOMA NA HII  KOCHA AZAM AMPA KAZI MAALUM MUUAJI WA SIMBA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here