Home Simba SC VIDEO: BERNARD MORRISON AIWEKA KANDO YANGA,

VIDEO: BERNARD MORRISON AIWEKA KANDO YANGA,


BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji wa Simba amesema kuwa kikubwa ambacho wanakifikiria kwa sasa ni pointi tatu muhimu katika mechi zao. Pia nyota huyo amesema kuwa kwa sasa sio muda wa kuzungumzia mchezo wao wa dabi dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Mei 8.

 

SOMA NA HII  SIMBA QUEENS YATWAA UBINGWA MBELE YA BAOBAB QUEENS