Home Uncategorized KIUNGO WA YANGA KUIBUKIA POLISI TANZANIA

KIUNGO WA YANGA KUIBUKIA POLISI TANZANIA

 


KIUNGO mkabaji wa Klabu ya Yanga Abdulaziz Makame yupo kwenye mpango wa kutua kwa mkopo ndani ya Klabu ya Polisi Tanzania. 


Habari zinaeleza kuwa mpaka sasa ni timu mbili zinahitaji kupata huduma yake ikiwa ni Polisi Tanzania  na Ihefu.


Sababu kubwa ya nyota huyo mzawa kuondoka ndani ya Yanga ni kukosa nafasi kikosi cha kwanza licha ya uwezo alionao.

SOMA NA HII  LIGI KUU BARA LEO RATIBA