Home Uncategorized LIGI KUU BARA LEO RATIBA

LIGI KUU BARA LEO RATIBA

 


LEO Novemba 21, Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kwa michezo minne kupigwa Kwenye viwanja vinne tofauti.


Mambo yapo namna hii:-


Polisi Tanzania v Ihefu, Azam Complex,  saa 8:00 mchana.


JKT Tanzania v Gwambina, Jamhuri Dodoma,  saa 8:00 mchana.


KMC v Azam FC,  saa 10:00 jioni, Uwanja wa Uhuru.


Coastal Union v Simba, Saa 10:00 jioni, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.

SOMA NA HII  SAKATA LA KICHUYA LAWAPASUA KICHWA NAMUNGO