Home Simba SC VIDEO: SIMBA WATAJA KILICHOWAFANYA WAKAPOTEZA MBELE YA AL AHLY NA HESABU ZAO

VIDEO: SIMBA WATAJA KILICHOWAFANYA WAKAPOTEZA MBELE YA AL AHLY NA HESABU ZAO

255
0

BAADA ya Klabu ya Simba kufanikiwa kutinga hatua ya robo fainali kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika wakiwa ni vinara wa kundi A na pointi zao 13 licha ya kupoteza mchezo wao wa mwisho kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Al Ahly wameweka bayana kilichowaponza na hesabu zao kwa sasa