Home Simba SC VIDEO: SIMBA YAWAITA MASHABIKI KESHO, IKIWA WATAJITOKEZA MEI 8 WAAHIDI MABAO ZAIDI...

VIDEO: SIMBA YAWAITA MASHABIKI KESHO, IKIWA WATAJITOKEZA MEI 8 WAAHIDI MABAO ZAIDI YA MATATU


KUELEKEA kwenye mchezo wa kesho Mei Mosi, ambao ni wa Kombe la Shirikisho hatua ya 16 bora, Uwanja wa Mkapa saa 1:00 usiku dhidi ya Kagera Sugar, uongozi wa Simba umewaomba mashabiki kujitokeza kwa wingi.


 Haji Manara, Ofisa Habari wa Simba amewaomba mashabiki kujitokeza kwa wingi huku akionesha masikitiko yake kwa mashabiki wa Dar kutojitokeza kwa wingi. Pia ameahidi kuwa ikiwa watajitokeza kwa wingi mchezo wao wa Mei 8( Simba v Yanga) watashinda zaidi ya mabao matatu. 

 

SOMA NA HII  PAMOJA NA KURUDI KIKOSINI...ONYANGO AENDELEA KUKUMBUSHA HILI KUHUSU MUSTAKABALI WAKE SIMBA...AITAJA TFF..