Home Yanga SC VIDEO: YANGA WATOA TAMKO KUHUSU MANJI KURUDI

VIDEO: YANGA WATOA TAMKO KUHUSU MANJI KURUDI

ZIKIWA zimeenea tetesi kuhusu mwekezezaji wa zamani wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji kurudi kuwekeza katika kikosi hicho tena uongozi wa Yanga umesema kuwa hakuna tatizo ikiwa atahitaji kurudi arudi tu wanamkaribisha.

 

SOMA NA HII  YANGA WAIFUNGA REAL BAMAKO WAKIWA DAR...HIVI NDIVYO NABI ALIVYOCHEZA KETE ZAKE...