Home Ligi Kuu VPL: MWADUI 0-0 SIMBA

VPL: MWADUI 0-0 SIMBA

 


UWANJA wa Kambarage,  Shinyanga 

Dakika ya 42 Kiango anapelekq mashambulizi Simba

Dakika ya 38 Chikwende anachezewa faulo

Dakika ya 37, Bwalya anafanya jaribio linakwenda nje kidogo ya lango 

Dakika ya 36, Chikwende anacheza faulo kwa nyota wa Mwadui FC 

Dakika ya 34, Chama anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 33, Chama anacheza faulo kwa nyota wa Mwadui

Dakika ya 31, Mbisa anaokoa faulo iliyopigwa na Bwalya

Dakika ya 29 Kagere anachezewa faulo 

Dakika ya 28, Simba wanapata kona ya tatu inaokolewa na Uhuru Seleman

Dakika ya 27,Chikwende anacheza faulo

Dakika ya 23 Bwalya anamwaga maji yanakwenda nje

Dakika ya 21 Mbise anaokoa hatari
Dakika ya 20, Mwadui wanapata kona haileti matunda 

Dakika ya 19 Uhuru anapeleka mashambulizi Simba

Dakika ya 15  Simba wanapeleka mashambulizi Mwadui

Dakika ya 12 Chikwende anaotea 

Dakika ya 11 Mbise anatoka kuokoa majalo anakosa na Simba nao wanakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 10 mchezaji wa Mwadui FC anapewa huduma ya Kwanza 

Dakika ya 9, Chama anapoka moira mikononi mwa Mbise, mwamuzi anaanua iwe faulo

Dakika ya 7 Zimbwe anarudisha pasi ya nyuma kwa Onyango 

Dakika ya 5, Chikwende anacheza faulo

Dakika ya 4, Chama anapiga kona ya Kwanza kwa Simba 

Dakika ya 2 Chama anafanya jaribio linaokolewa na Mbisa

Kipa wa Mwadui FC alipewa muda wa kubadili jezi kwa kuwa alivaa jezi inayofanana na Simba.

SOMA NA HII  BIASHARA UNITED WANA BIASHARA NA SIMBA LEO