Yanga SC

KIKOSI CHA YANGA KURUDI DAR LEO

admin May 1, 2021 10:47 am


 KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nassredine Nabi leo kimeanza safari ya kurudi Dar kikitokea Mbeya.

Yanga jana Aprili ilikuwa na kazi ya kusaka ushindi mbele ya Tanzania Prisons, Songea na ilishinda kwa bao 1-0 lilifungwa na Yacouba Songne.

Ushindi huo ulionekana kulalamikiwa na Tanzania Prisons kupitia kwa wachezaji ambao walikuwa wakionekana muda mwingi kulalamika kwamba wameonewa na mwamuzi wa kati.

Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli amesema kuwa kikosi kinatarajiwa kuwasili Dar leo kikitokea Mbeya.

“Kikosi kinatarajiwa kuwasili Dar leo kikitokea Mbeya ambapo kilikuwa baada ya kumaliza mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Tanzania Prisons,”.  

SIMBA KAMILI KUIVAA KAGERA SUGAR LEO KWA MKAPA AZAM FC YALIPIGIA HESABU KOMBE LA SIMBA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply